PICHA Zaid ya 10 za ndoa ya NANCY SUMARI

Hayawi hayawi sasa yamekuwa. Baada ya miaka mingi ya uhusiano thabiti na uliokuwa umetawaliwa na upendo usio kifani, Mwenyekiti Mtendaji wa Bongo5 Media Group Limited, Luca Neghesti na Miss Tanzania 2005 na Miss World Africa, Nancy Sumari wamefunga ndoa Ijumaa hii. 4K0A9044 Luca akimvalisha pete Nancy Sumari

Luca na Nancy ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Bongo5 wamebahatika kupata mtoto mmoja wa kike, Zuri. 4K0A9071 Luca akisaini cheti cha ndoa
Wawili hao wamefunga ndoa jijini Arusha na kuhudhuriwa na watu takriban 60 ambao wengi wao ni ndugu na marafiki zao wa karibu. Tunawapongeza kwa hatua hiyo kubwa kwenye maisha yao. Tazama picha zaidi hapo chini.
4K0A9105
Nancy akisaini cheti cha ndoa Nancy akisaini cheti cha ndoa
Nancy akiwa na rafiki zake Nancy akiwa na rafiki zake Ndugu na jamaa akishuhudia tukio Ndugu na jamaa wakishuhudia tukio
4K0A9051
4K0A9100
4K0A9105
4K0A9114
4K0A9128
Kiapo cha ndoa
IMG_9008
IMG_9013
IMG_9100
IMG_9151
IMG_9175
IMG_9181
IMG_9186
IMG_9199
IMG_9200
4K0A9081

Tupe Maoni Yako Kuhusu Habari Hii

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HAPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK
 

VITUKO VYA MTAA Copyright © 2016