MAZITO:DIVA Afunguka juu ya yeye Kuhusishwa na kujigongagonga kwa msanii wa bongo flava BILLNASS

Diva kupitia ukarasa wake wa INSTAGRAM alifunguka juu yake KUMSHOBOKEA msanii wa bongolang BILLNASS.,kufutia kuwekwa kwenyegazeti pendwa*********.

divathebawse "wee mwandishi wa hili gazeti ni Mpumbavu na Billnass Kama Umeongea kweli hii ni Mpumbavu na Natoa Verse yako kwenye wimbo wangu. 😡😡😡 vibongo fleva artist vinapenda Kiki asa Billnass nijigonge kwako ili iweje?! like for what? Man the fuck ... kwan hukuw unajua kwamba whatever was Posted here ni kwa ajili ya wimbo? afu i said this once and am saying this again sitaki kuandikwa kwenye magazeti with cheap publicity mie sio level zangu hizo. upumbavu wenu andikeni wanaopenda kiki mie sitaki ujinga tusikerane saa hizi watu tuko busy kufanya kazi mambo ya kiki za kipumbavu pelekeni huko sitaki ujinga. huyo billnass mie namjua kabla wote hamjamjua i was treating him lile mdogo wangu sababu ni mdogo wa rafiki yangu. naona nae mapembe yamemuota and he is being a two faced. fuck off stak andikwa ujinga. sitaki kiki zenu za kipumbavu. i have my relationship with my man for years now and he knows fuck off. ujinga ujinga mnahisi kila mtu anapenda huh?!stupid ass"

Baada ya hayo DIVA alifafanua juu ya kuondoa kwa verse ya BILLNASS kwenye nyimbo yake mpya 


divathebawse "Kwenye BabyBoy anabaki Fundi tu Mwenyewe wa Muziki .... Mr. Blue Bayser matter fact watu kibao wanted ni remove verse ya Billnass in ma song.... blue killed it we both kno blue ni level ingine bana ... na verse iko removed toka asubuhi. we busy making money no free kicks with upcoming artist bana. nimemaliza.....utoto utoto peleken uko...watu tuko busy bana."


Tupe Maoni Yako Kuhusu Habari Hii

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HAPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK
 

VITUKO VYA MTAA Copyright © 2016