Video:mama mtoto wa Nay wa Mitego kapata kifungo cha nje, Nay kaeleza..

Mama mtoto wa Nay wa Mitego, Siwema kutumikia kifungo cha nje,  Nay wa Mitego kueleza taarifa hizo za mzazi mwenza.
‘Tulikuwa tunapambana jinsi ya kumsaidia mpaka amepata kifungo cha nje, na kuna vitu ambavyo hatakiwi kufanya katika jamii kama kupigana  au kusafiri nje ya mkoa fulani mpaka kifungo chake cha miaka miwili lkitakapokwisha basi anaruhusiwa kuendelea na mambo mengine’- Nay wa Mitego

Tupe Maoni Yako Kuhusu Habari Hii

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HAPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK
 

VITUKO VYA MTAA Copyright © 2016