VEPEEE! anessa atoa jibu la utata kuhusu uhusiano wake na Jux,angalia video

Jibu la Vanessa Mdee kuhusu uhusiano wake na Jux kwenye kipindi cha The Trend kinachorushwa na NTV ya Kenya litakuacha na maswali mawili mawili.
Muimbaji huyo wa ‘Niroge’ aliamua kukwepesha kumtaja jux baada ya kuulizwa na mtangazaji wa kipindi icho Larry Madowo kuhusu uhusiano kwasasa, Vee alidai kuwa amejikita zaidi kwenye muziki wake na ndio ana uhusiano nao kwasasa ,
“I’m saying am dating my music, I’m focusing on my carrier” alijibu kwa kifupi.

Tupe Maoni Yako Kuhusu Habari Hii

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HAPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK
 
VITUKO VYA MTAA Copyright © 2016