PICHA ZA UTTHIBITISHO:Mwanamke aliedai kuwa na ujauzito wa Wizkid aweka hadharani majibu ya DNA.


Baada ya Mwanamitindo anaefahamika kama  Binta Diamond Diallo kudai kuwa ana ujauzito wa Mwanamuziki Wizkid mapema January mwaka huu ambapo kwenye interview kadhaa staa huyo wa Afro-Pop kutoka nchini Nigeria alikanusha madai hayo,hatimaye mrembo huyo mara baada ya kujifungua May 31 mwaka huu,aliamua kuweka  hadharani majibu ya vipimo vya vinasaba (DNA)kupitia account yake ya instagram ambapo majibu ya vipimo hivyo yanaonesha kuwa mtoto huyo wa kiume ni mtoto halali wa Wizkid.
Banita DNA post 0003
Mwanamitindo huyo mzaliwa wa Guinea mwenye makazi yake nchini Marekani alipost majibu ya vipimo hivyo akiambatisha na ujumbe uliosomeka “Read between the lines #DNADOESNTLIE #notjustarumor #facts,.Aliandika.
Banita sex picccss 0004                                                    Banita Diamond Diallo.
Banita dwizkid baby mama 001
banita boy to wizkid 002Hata hivyo Wizkid ambae tayari ana mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka mitano nax-girlfriend wake Oluwanishola,hajazungumza chochote baada ya mrembo huyo kuweka hadharani majibu hayo ya DNA,japo inadaiwa kuwa Mwanamuziki huyo ameridhia majibu na tayari ameanza kutimiza wajibu wake kama baba.
Wizkid with his son,                                    Wizkid na mtoto wake wa kwanza wa kiume,Boluwatife.
Kwa sasa Wizkid yupo kwenye maandalizi ya music tour yake na Mwanamuziki Chris Brown inayofahamika kama “One Hell Of A Night”.
Wizkid post on Chirs brown 0005


Tupe Maoni Yako Kuhusu Habari Hii

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HAPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK
 

VITUKO VYA MTAA Copyright © 2016