NEW VIDEO:Mchekeshaji Stan Bakora ameamua kufanya video ya wimbo wa Raymond NATAFUTA KIKI

Kila mtu na kipaji chake,Mchekeshaji Stan Bakora ameamua kufanya video yake ya wimbo mpya wa Raymond a.k.a Ray vany “Natafuta Kiki”.
Stan Bakora 0002                                                                       Stan Bakora.
Haijafahamika kama video hii ina baraka kutoka kwenye music label ya Wasafi inamsimamia Raymond,ila pia video hii ni kiki tosha ya kuendelea kuufanya wimbo huo ukae kwenye masiko ya mashabiki wa Bongofleva.Kiki juu ya kiki..!!


Tupe Maoni Yako Kuhusu Habari Hii

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HAPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK
 

VITUKO VYA MTAA Copyright © 2016