VIDEO:Tazama Diamond na Ne-Yo wakiperfom colabo ya nyimbo yao kwa mara ya kwanza on stage

Kama wewe ni shabiki wa Diamond Platnumz kaa mkao wa kula kwani licha colabo anayotarajia na Chris Brown,colabo yake na R&B hit maker Ne-Yo ipo tayari na muda wowote inaweza kutoka rasmi,colabo ambayo ndani yake unaambiwa Ne-Yo kaimba kishwahili.
diamond and neyo 001Kwa kudhihirisha hilo wawili hao waliperfom wimbo huo kwa mara ya kwanza on stage  katika tamasha la Jembeka Festival ambapo Ne-Yo aliungana na mastaa wa Bongofleva kuwaburudisha maelfu ya mashabiki wa muziki waliohudhuria tamasha hilo lililofanyika katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.
neyo and domooo                          Diamond(L) & Ne-Yo(R) on stage @Mwanza.

Tupe Maoni Yako Kuhusu Habari Hii

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HAPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK
 

VITUKO VYA MTAA Copyright © 2016