Video:Harmonize kaelezea yote kuhusu ile video iliyosambaa na wengi kuamini kamkejeli Wema Sepetu juu ya tatizo lake la UZAZI

Toka juzi kuna video ilisambaa ikimuonyesha mwimbaji wa bongofleva kutoka lebo ya WCB inayomilikiwa na Diamond Platnumz, Harmonize akionekana kwenye kipande cha video ambayo wengi wametafsiri kama alikejeli ishu ya mwigizaji Wema Sepetu na tatizo la uzazi ila Harmonize amejitetea kwa kilichotokea.
Ile video ina kama mwaka toka imerekodiwa, ilikua kwenye mazingira ya masihara… yale mashairi ni ya msanii wa Hiphop sio wimbo wangu, wakati tunarekodi sio Harmonize huyu ambaye jamii inamtizama ni Harmonize mwingine sababu ingekua Harmonize huyu wa sasa hivi ningekua na wasiwasi kwanini niongee hivi‘ – Harmonize
Ukiataka kumsikia Harmonize akiongea kila kitu bonyeza play hapa chini…

Tupe Maoni Yako Kuhusu Habari Hii

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HAPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK
 

VITUKO VYA MTAA Copyright © 2016