VIDEO: Harmonize na Jackline Wolper mapenzi motomoto

Mwigizaji Jackline Wolper wa bongo movie yuko mapenzini na mwimbaji wa bongofleva Harmonize ambaye anatokea lebo ya WCB inayomilikiwa na Diamond Platnumz, Jacky na Harmo hawakusita kuonyesha mahaba yao kwenye birthday party ya mtoto wa Mose Iyobo na Aunty Ezekiel.

Tupe Maoni Yako Kuhusu Habari Hii

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HAPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK
 

VITUKO VYA MTAA Copyright © 2016