VIDEO: Exclusive ya Mbunge Agness Marwa Afunguka juu CV yake inayopondwa iliyosambaa mtandaoni


Baada ya kuipata stori ya Mbunge Viti Maalum CCM Agness Marwa ambaye ni mmoja kati ya Wabunge walioweza kuingia kwenye headline kwenye mitandao mbalimbali nchini haswa baada ya tukio lake la kuchangia hotuba ya Wizara ya Habari Utamaduni, Sanaa na Michezo katika Bunge la 11. Na ni baada ya kutoa kauli ya kutotaka Bunge kurushwa Live.
Kipande cha CV Hiyo from Jamii Forum

http://www.jamiiforums.com/attachments/image-png.347688/
Nakukutanisha na hii Part Two ya mahojiano yake aliyofanya huku ishu kubwa ikiwa ni CV yake inayosambaa kwenye mitandao…

Tupe Maoni Yako Kuhusu Habari Hii

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HAPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK
 

VITUKO VYA MTAA Copyright © 2016