Sio siri tena:Harmonizer: “Namzimia Wolper kinoma ila ni mapema sana kumvisha pete”

Harmonizer ambae ni miongoni mwa wasanii ambao wamesaniwa na music label ya W.C.B (Wasafi) label inayomilikia na mwanamuziki Damond Platnumz,akiongea na teamtz.com amedai kuwa ni kweli yupo kwenye mahusiano na Bongo movie actres Jackline Wolper na kuongeza kuwa kabla kumnasa mrembo huyo aliewahi kushare shuka na boss wake hajawahi kumvisha mtu pete  na hana mpango wa kumvisha pete Wolper kwa sasa huku akidai kuwa kila kitu kitakua wazi siku za usoni.
wolper and hamornize
harmonize and wolper                                                      Harmonize & Wolper.
“Yeah broo…niseme tu kweli nipo kwenye mahusiano na Wolper ambaye ni maarufu kama mimi na wakati ukifika kila kitu kitawekwa wazi,lakini hiyo ya kumvisha mtu pete sio kweli..sijawahi kuvishwa pete wala kumvisha mtu pete” alisema Harmonize
harmonize post on wolper 002

Tupe Maoni Yako Kuhusu Habari Hii

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HAPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK
 

VITUKO VYA MTAA Copyright © 2016