Rapper Tyga kufikishwa mahakani kwa kuvujisha sex-tape yake na Blac Chyna

 
New Saga..!! Sex tape inayomuonesha Socialite & Modal Blac Chyna akingonoka na aliekua mpenzi wake rapper Tyga imevuja na imesambaa kwenye adult website worldwide hali iliyopelekea mrembo huyo kupitia mwanasheria wake  kuanza kukusanya ushahidi  ili kumfikisha mahakamini Tyga na wote wanaohusika  kuisambaza sex tape hiyo.
Blac-Chyna-is-seen-on-November-19-2015-in-Los-Angeles
blacccccccccccccccc                                                                   Blac Chyna.
Mwanasheria wa modal huyo  Walter Mosley kwenye mahojiano na mtandao wa TMZ ameeleza kuwa kuwa ameanza uchunguzi wa ya madai ya mteja wake dhidi ya baadhi ya mitandao na wote waliohusika kusambaza sex tape hiyo.
rob and black chynaaaaa                                            Blac Chyna na mpenzi wake Rob Kardashian.
Blac Chyna (27) ambae kwa sasa yupo kwenye mahaba mazito na kaka wa Kardashian girls Rob Kardashian,mahusiano yao yamekua kwenye headline za entertaiment hasa ikizingatiwa kuwa Blac Chyna kabla ya kuw na Rob alikua kwenye mahusiano na Tyga  aliezaa nae mtoto wa kiume King Cairo ambapo kwa sasa rapper huyo  anavinjari na half sister wa Rob Kardashian anaefahamika kama Kylie Jenner,hata hivyo ni kama Blac Chyna hataki malumbano na familia ya Kardashian kwani few weeks ago aliwashangaza watu pale alipopiga picha na Kylie na kuwafunga midomo wale waliokua wakidhani kuna ugomvi kati yao.
chyyyyyyyyyyyyynaaaaaaaaa                      Blac Chyna & Kylie Jenner.
tygaaaaaaaaaaa                                                              Blac Chyna & Tyga.

Tupe Maoni Yako Kuhusu Habari Hii

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HAPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK
 

VITUKO VYA MTAA Copyright © 2016