PICHA:Binti wa miaka 19 anaedai kuwa na ujauzito wa Papa Wemba ajitokeza hadharani.

Papa Wemba girlfriend kiss 01 
Binti wa miaka 19 anadaiwa kuspend one night on the same bed na Hayati Papa Wemba amekua gumzo kwenye mitandao ya kijamii ndani na nnje ya Congo(D.R.C) akidai kuwa na ujauzito wa Mfalme huyo  wa Rhumba aliefariki April 24 mwaka huu baada ya kuanguka  jukwaani jijini Abidjan nchini Ivory Coast.
papa wemba 007                                            Hayati Papa Wemba.
Picha zinazodaiwa kuwa copied kutoka kwenye akaunti za social media za binti huyo,zinamuonesha akiwa kwenye pozi tofauti za kimahaba na Papa Wemba,picha ambazo zimesambaa kwenye mitandao ya kijamii  huku baadhi ya picha hizo zikionesha tumbo lake na nyingine zikimuonesha akikiss na Hayati Papa Wemba.
Mpaka sasa hakuna taarifa yeyote rasmi kutoka kwenye familia ya Papa Wemba juu ya madai ya binti huyo ambae baadhi ya mashabiki wa Mfalme huyo wa Rhumba wameahidi kumsaidia kwa lolote hadi atakapojifungua.
Papa Wemba girlfriend kiss 01
Papa Wemba best kiss with his girl friend 001

Tupe Maoni Yako Kuhusu Habari Hii

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HAPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK
 

VITUKO VYA MTAA Copyright © 2016