PICHA za harusi ya msanii wa kenya NYOTA NDOGO

Kupitia ukarasa wake wa Facebook ,Msanii kutoka kenya nyota ndogo Amewekawazi ndoa yake.
"Na furaha tele siku ya leo nimefunga pingu za maisha mke ndoa
I love you Henning Nielsen until death do us apart."  
Hongera sana Nyota ndogo Mungu akujalie zaidiTupe Maoni Yako Kuhusu Habari Hii

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HAPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK
 

VITUKO VYA MTAA Copyright © 2016