PICHA na VIDEO:Angalia Mpenzi mpya wa Nuh Mziwanda alivyojitambulisha kwenye Birthday Party...

Usiku wa May 15 2016 Msanii kutoka kiwanda cha bongoflevani Nuh Mziwanda alifanya Birthday Party yake aliyoifanyia maeneo ya nyumbani kwake Survey Dar es salaam, Birthday Party ambayo ilihudhuriwa na mastaa mbalimbali na kumtambulisha mpenzi wake mpya kwenye tukio la kulishana keki, Mtu wangu usisahau kuniachia comment yako hapa.

Tupe Maoni Yako Kuhusu Habari Hii

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HAPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK
 

VITUKO VYA MTAA Copyright © 2016