Picha: Kala Jeremiah amringisha mtoto wake instagram

Msanii wa muziki wa Hip Hop, Kala Jeremiah anaendelea kufurahia maisha na mwanae kwa kupost picha katika mitandao ya kijamii ikiwa ni wiki mbili toka mpenzi wake ajifungue mtoto wa kiume aitwae ‘Alama’. TEMPLATE OUT
Rappa huyohivi karibuni kuwa mtoto huyo anamchukilia kama zawadi maalum aliyopewa na Mungu katika maisha yake.
Kupitia ukurasa wake wa instagram, Kala ameandika:
Tangu nikufahamu sasa yapata wiki 3 umekuwa mtu mzuri sana kwangu. Umekuwa furaha ya kudumu moyoni mwangu. Ee Mwenyezi Mungu asante sana kwa kuniletea alama kwenye maisha yangu.

Tupe Maoni Yako Kuhusu Habari Hii

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HAPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK
 

VITUKO VYA MTAA Copyright © 2016