Mambo matatu ya kufahamu kuhusu marehemu Kinyambe na Familia yake...

May 11 2016 msanii wa filamu za uchekeshaji maarufu kama Kinyambe alifariki dunia akiwa katika hospitali ya mkowa wa Mbeya, Kinyambe alifariki kwa kuugua kwa zaidi ya miezi nane na ugonjwa uliokuwa unamsumbua ni pafu la upande mmoja kushindwa kupumua vizuri. Kwa mujibu wa baba mzazi wa marehemu Petro Lugendelo Nsemwa
“Kinyambe amefariki na kuacha watoto wawili na mjane ambaye ni mjamzito anatarajia kujifungua mwaka huu, amefariki baada ya kuugua kwa zaidi ya miezi sita toka arudi kwao Mbeya akitokea Dar es Salaam, Kinyambe amepishana siku kadhaa tu na mwanae wa mwisho Bray mwenye umri wa miaka minne aliyefariki kwa kuumwa tumbo”

Tupe Maoni Yako Kuhusu Habari Hii

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HAPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK
 

VITUKO VYA MTAA Copyright © 2016