INSTAGRAM:Picha ya Young dee akivuta yawatoa mashabiki Povu..

Mitandao ya kijamii imewasogeza mashabiki karibu zaidi na wasanii na imekuwa kawaida kwa mashabiki kuwatukana, kuwashauri, kuwapongeza ama kuwasifia mastaa pale wanapofanya vizuri yote kwasababu wana nafasi ya kuzungumza nao moja kwa moja.
wee
Young dee ameweka picha akivuta kitu kinachoaminika kuwa bangi kwenye mtandao wa Instagram na ni wazi mashabiki hawawezi kumuacha hasa kipindi hiki ambacho idadi kubwa ya mashabiki wanaamini staa huyo anajihusisha na matumizi ya madawa ya kulevya.
miritrda_: Usizudishe vilewa au bangi utashuka mapema nakifo kitakufuta mie shabikiwako na ninapenda kuona unapiga atuakimzik baridi staili yako ya maisha
miyokejr: Soba house soon, hawakawii kusema tuwaombee baadae!
mohamedjimia: Huna wazazi wewe maadili ya tanzania hayapo hivyo nahisi wewe utakuwa mwehu acha unga dogo unajichafulia jina au tayari nini.
soul_macblac@youngdaresalama #endof day, uwe omba omba ,kama mwenzio wa ilala .hatukupekeki sober.
doncomdavid: Ww endelea tu japo unanizidi maisha ila dah sikusapoti saana kwa tabia yako hiyo.
sukhail_luqman:_Nkubali sana music wako na still yako ya kurap ila ukweli now una haribikiwa ma brother sooo sawa kila mtu akajua tabia zako mbaya@youngdaresalama.
fredy_matic: Wa kitunda KWA traffic, yani watu kama kina chidi, ngwea yaliwakuta haya haya lakini hamjifunzi tu loh!!! Mkisha haribika kabisa ndo mnaanza kujitokeza eti wa Tanzania nisaidieni, ha ha ha ha ACHENI usela wa ajabu bn, niite RAISI wa kitunda.

Tupe Maoni Yako Kuhusu Habari Hii

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HAPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK
 

VITUKO VYA MTAA Copyright © 2016