FUNGUKA:LADY JAY DEE na Kuitwa BINTI MCHOZI

Queen wa bongo fleva Lady Jay Dee Baada ya kuamka tena na Ndi Ndi Ndi, ameendela kulikataa wazi jina lake alilokuwa akilitumia hapo awali la binti machozi
Msanii wa Bongo fleva Lady Jay Dee
Akizungumza na Enewz Jay Dee alisema kuwa kwasasa hataki tena kusikia watu wakilitumia jina hilo kwake wala kwa bendi yake kwani bendi hiyo sasa inajina jipya la ''The Band''
Jay Dee amelikataa jina hilo kutokana na madai kuwa maneno mara nyingi huwa yanaumba kwahiyo isije ikaja ikamtokea ikawa hivyo bora mapema aepukananelo huku akiwakaribisha kwa hamu sana mashabiki zake katika Show yake Ijumaa hii tarehe 20 mlimani city.

Tupe Maoni Yako Kuhusu Habari Hii

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HAPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK
 

VITUKO VYA MTAA Copyright © 2016