Chura wa Snura Asambaa Mpaka marekani

Chura wa Snura anazidi kusambaa duniani kwa kasi. Clip zinazowaonesha wanawake watatu wakipika chakula huku wakitikisa mizigo yao kwa kuucheza wimbo huo maarufu haijashia kutrend Afrika tu bali hadi Marekani.
Chura 3
Kipande hicho cha video kimetrend Marekani, shukrani kwa mchekeshaji Maarufu Lil Duval. Mchekeshaji huyo aliipost video hiyo kwenye akaunti yake ya Instagram yenye followers zaidi ya milioni moja na kuandika:
“Why would a man want an independent American women when u can go grab u 3 of these? 😂😂😂😂😂😂😂 u bitches better step yo game up 😂😂😂😂😂.”
Mtandao maarufu wa World Star Hip Hop uliirepost video hiyo kwenye akaunti yake yenye followers milioni 17.
Chura 1
Hata hivyo huenda Snura akapata kikwazo kutoka kwa serikali. Leo wizara Wizara ya Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo inakutana na waandishi wa habari kuzungumza kuhusu video hiyo. Jibu la madhumuni ya mkutano huo utalipata baadaye.

Tupe Maoni Yako Kuhusu Habari Hii

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HAPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK
 

VITUKO VYA MTAA Copyright © 2016