SAD:Picha 19 za nyumba mbili za Wastara zilizopigwa X Tabata ili zibomolewe


Bomoabomoa ilianza mwishoni mwa mwaka 2015 kwenye baadhi ya maeneo jijini Dar es salaam hasa ya mabondeni ikiwemo maeneo ya kando na mto msimbazi ambapo zoezi hilo lilisitishwa baada ya kesi inayopinga ubomoaji wa nyumba takribani 2619 za wakazi wa Tabata Segerea kufunguliwa.
Sasa April 22 2016 maamuzi ya kesi hiyo yalitolewa ambapo Mahakama Kuu Kitengo cha Ardhi ilisema kesi hiyo imekosa vigezo vya kisheria kutokana na kutokuwa na kibali cha wananchi wote kwa pamoja kinachoruhusu watu nane kufungua kesi badala ya wananchi wote.
Kama nyumba hizo zaidi ya elfu mbili zitabomolewa basi na hizi za mwigizaji wa bongomovie Wastara zitakua miongoni, ni nyumba ambazo anasema kiwanja chake alikinunua mwaka 2007 na gharama ya kuzijenga inazidi milioni 100 ambapo nyumba ya pili ndio kaimalizia juzi tayari kwa kuamia.
.
.
.
.
.
.Hii ni nyumba mpya ya Wastaa ambayo ilikuwa tayari imemalizika lakini nayo imepigwa alama ya X
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.Hii ni ndio nyumbao ambao anayoishi kwasasa ambayo nayo imepigwa X
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
-Thanx millard ayo

Tupe Maoni Yako Kuhusu Habari Hii

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HAPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK
 

VITUKO VYA MTAA Copyright © 2016