Mrembo huyu Maarufu kutoka Uganda kufanya upasuaji wa kukuza matiti.

After releasing her first music video”Mud Guard”,Socialite & Drama girl kutoka nchini  Uganda Shanita Namuyimba a.k.a Bad Black yupo kwenye maaandalizi ya safari kuelekea Dubai kwa ajili ya upasuaji mdogo kwenye matiti.sio mara ya kwanza kwa mrembo huyu kufanya upasuaji wa matiti coz on 2012 alisafiri mpaka Dubai na kufanyiwa upasuaji wa kukuza matiti so taarifa zisizo rasmi kutoka kwa watu wake wa karibu  zinadai huenda mrembo huyo amepata matatizo kutokana upasuaji wa awali.
bad blackkkkk 01                                                                          Bad Black.
Bad Black alitrend kwenye vyombo vya habari nchini Uganda mwaka 2013 alipohukumiwa kwenda jela mika 4 mara baada kukutwa na tuhuma za kutapeli zaidi ya shilingi bilioni 11 za Uganda,kutoka kwenye kampuni aliyokua akifanya kazi inayofahamika kama Daveshan Development Campany Ltd,inayomilikiwa na aliekua mpenzi wake raia wa kigeni,David Geenhalh.Hata hivyo on march this year Bad girl alimaliza kutumikia adhabu yake na yupo uraini akiendeleza drama zake kama kawaida.
bad balck ob corttttt                                                        Bad Black,Mahakani 2012.
Bad-Black-and-David-Greenhalgh                                               Bad Black & David Geenhalgh.

Tupe Maoni Yako Kuhusu Habari Hii

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HAPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK
 

VITUKO VYA MTAA Copyright © 2016