MR BLUE Akata Shauri..Aamua Kumuoa Kabisa Mama wa Mtoto Wake...

Hatimaye Mr blue kaachana na ukapera kaamua kumuoa mama watoto wake Wyder!!! Hongera sana Mr Blue kwa hatua uliyofikia!!!

Mr blue simbaaa akiwa na mke wake halali kabisaaa Wyder !!! Hakika Blue nayeye ameingia katika list ya wasanii mifano ya kuigwa katika maswala ya ndoa.. tupia neno la kumtakia kheri katika maisha ya ndoa...!!!bado baba Tiffah

Tupe Maoni Yako Kuhusu Habari Hii

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HAPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK
 

VITUKO VYA MTAA Copyright © 2016