Hivi ndivyo MR BLUE na NAJ walivyogawana furaha...


Nikama wanagawana furaha kwani mara baada ya Mr.Blue kufunga ndoa na his long time baby mama Wahida,aliekua mpenzi wake back in the days,Naj Dattan yupo kwenye mahaba mazito na hit maker wa single ya “Siwezi” Baraka da Prince.Kupitia akaunti yake instagaram Bayser alishare picha kadhaa kwa funs wake akisheherekea siku yake ya kuzaliwa pamoja kufunga ndoa na Warda.
bluuu weding 01

blue weding 03
blue weding 02                                                                         Blue & Wahida.
Wakati Mr blue na mkewe Wahida wakisheherekea maisha mapya ndani ya ndoa,Naj  yupo kwenye mahaba mzito na Baraka da Prince ambae last week alimpelekwa Rock City Mwanza kumtambulisha kwa wazazi wake rasmi,so this means after Blue and Warda wedding,pengine Naj and Baraka Da Prince wedding is around the corner.

najjjj post 02 to baraka
najjjjjj post to baraka
najjjjj 03
baraka na najjj                                                                       Naj na Da Prince.

Tupe Maoni Yako Kuhusu Habari Hii

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HAPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK
 

VITUKO VYA MTAA Copyright © 2016