Audio: Nyadu Tozi asema Dudubaya ni mfamaji, adai taarifa ya kukabidhiwa kwake akiwa mdogo ni uongo

Nyandu Tozi amesema taarifa za kukabidhiwa kwa Dudubaya akiwa mdogo ni za uongo baada msanii huyo mkongwe kusema anajivunia mafanikio ya Nyandu Tozi kwasababu  alikabidhiwa na Mama yake ili amlee.

“Yeye kanikutana mimi MJ Records, na nikiwa pale narekodi kanisiakia narekodi kamwambia Master J, master ndani kuna huyu mtoto nasmikia, Master akamwambia huyo mtoto wangu yupo label hapa”  Nyadu Tozi aliiambia 255 ya CloudsFm.

“Yeye kagewa mimi na Master J masuala ya kwa mama yangu me ndio nilimchukua yeye nikampeleka kwetu nimempeleka kwetu, sipendagi kuongea kwasababau namuona anajaribu.. yaani mfamaji, si unajua mfamaji” Aliongeza.

Tupe Maoni Yako Kuhusu Habari Hii

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HAPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK
 

VITUKO VYA MTAA Copyright © 2016