UMAARUFU WA WASANII WENGI WA KIKE WA TANZANIA UNATOKANA NA SKENDO ZA KUPIGA PICHA CHA "UCHI"


 NCHI za wenzetu staa kupiga picha za utupu si kitu kigeni lakini Tanzania sheria na maadili ya Mtanzania hayaruhusu kufanya hivyo.

Pamoja  na sheria  kutoruhusu, wasanii  wetu  hasa  wa  kike  wamekuwa  wakihaha  usiku  na  mchana  kuusaka  umaarufu  wa  kujulikana  kwa  jamii  kwa  njia  za  panya,....

Wengi  wao  wamepoteza  sifa  za  uwajibikaji  na  badala  yake  wamejikita  katika  Skendo  chafu  ili  jamii  iwajue...


Hali  hii  imewafanya  wasanii  wengi  wa  kike  wawe  na  umaarufu  wa  skendo  chafu....


Miongoni  mwa  skendo  hizo  ni:

1.Kupiga  picha  za  uchi
Hili  ni  kundi  la  wasanii  chipukizi  wanaosaka  umaarufu  kwa  gharama  yoyote....Ni  skendo  ambayo  huwachafua  sana, lakini  pia  ni  skendo  ambayo  huwainua  na  kuwafanya  wajulikane....


Mfano  halisi  wa  wasanii  wa  kundi  hili  ni  Rayuu,Agness  Masogange, Lulu  Michael,Pendo  wa  Maisha plus