MREMBO ALIYEBAKWA UINGERA NA MBUNGE WA TANZANIA AMTANJA "MH. GODBLESS LEMA" NDIYE ALIYEMBAKA

 
Leo  asubuhi  tuliweka  habari ya  mwanadada Flora Bahati Lymo anayedai kubakwa  na  mbunge.....
Taarifa  hiyo  ilinukuliwa  katika  gazeti la Uwazi, toleo la leo tarehe 14 may 2013....Ni taarifa  iliyozua  utata mkubwa. 
Unaweza kuisoma habari hiyo kwa kubofya hapa  
Kwa mdomo wake mwenyewe, mwanamke huyo ameamua kufunguka   mchana  huu na  kudai  kuwa  mbunge  huyo  ni GODBLESS LEMA.....
Ifuatayo  ni  kauli yake  aliyoitoa  katika  blog yake..
"GODBLESS LEMA MBUNGE WA CHADEMA ARUSHA 'WANTED IN UK FOR SEX*AL ASSAULT(UBAKAJI) BY POLICE IN UK -LONDON" ....
FLORA LYIMO WISH FOR HER BIRTHDAY MWAKA HUU 2013 IS JUSTICE "TUKIO HILI LILIFANYIKA ALIPOKUJA LONDON KUFUNGUA TAWI LA CHADEMA LONDON 2012'...
LEMA BAADA YA TUKIO ALIKIMBIA LONDON NA ALIPOTAFUTWA NA POLICE HAKUPATIKANA KWA SABABU YA MAJINA ALOSAFIRIA KUTOKUWA NA UHAKIKA NA VILE VILE HAIKUJULIKANA ALIKOFIKIA WAKATI ALIPOKUJA LONDON '.....
 NA TANGU SIKU YA TUKIO UCHUNGUZI UNAENDELEA NA SASA YUPO WANTED IN UK' JE TANZANIA MNALAKUSEMA KUHUSU HUYU MBAKAJI '?....


NAJUA WENGI WANAMTETEA KWA PALE HAWAJUI UKWELI WA TUKIO HILI NA MPAKA WATAKAPO INGIA MILANGO YA MAHAKAMA NDIYO WATAKAPOJUA NI NINI HASA WANATETEA '....


IKIWA HUNA LAKUSEMA BORA UNYAMAZE NA KUSOMA KIMNYAA" ASANTENI KWA WALE MNAOPINGA UBAKAJI NA UONEAJI WA KINA MAMA ULIMWENGUNI NA HASA TANZANIA AMBAPO WENGI HAWAJUI NINI MAANA YA UBAKAJI....

NA WENGI WANASEMA HAWAWEZI KUSEMA KWA MTU YOYOTE KWANI WANAJIONEA AIBU.MSIJIONEE AIBU 'SIYO KOSA LAKO KUBAKWA 'ALIE KUBAKA NDO WAKUJIONEA AIBU NA KUTANGAZWA DUNIA NZIMA IMFAHAM"
Unaweza  ukatembelea  blog  yake  hapo chini
 << FLORA LYMO>> 

Tupe Maoni Yako Kuhusu Habari Hii

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HAPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK
 

VITUKO VYA MTAA Copyright © 2016